"Kweli uchawi ni sayansi"..Tizama Jinsi Wachawi Wanavyo Tumia Maji Ya Kisima Kutengeneza “UKIMWI WA KICHAWI ”.
Wachawi wana uwezo wa kutengeneza magonjwa mbalimbali kama vile ugumba, udhaifu wa nguvu za kiume, kifafa, upofu, ukichaa, kiharusi, ukimwi nakadhalika. Hapa mgonjwa akienda kupimwa hospitali anakutwa hana tatizo wala ugonjwa wowote lakini anakuwa anaonyesha dalili zote za ugonjwa husika. Ukiona hali hiyo basi ujue ugonjwa wako umetengenezwa na wachawi. Mara nyingi,ingawa si mara zote, kabla wachawi hawajamtupia mtu ugonjwa husika, hujidhihirisha kwanza kwa kutumia njia zao za kichawi kama muhusika hana maradhi wanayo taka kumsababishia. Kama wakigundua mhusika tayari anaugua maradhi wanayo taka kumsababishia, basi humtengenezea ugonjwa mwengine, na ndumba ambazo zingetumika kumsababishia maradhi mhusika, huelekezwa kwa mtu mwingine ( Katika ulimwengu wa wachawi, ndumba zina gharama kubwa sana, hivyo huwa hazitumiki bila sababu wala faida ) Kwa
Comments
Post a Comment