MAKAMU WA RAIS SAMIA AHAKIKI TAARIFA ZAKE ZA MPIGA KURA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihakiki taarifa zake za mpiga kura kwenye Daftari la Wapiga kura katika Kituo cha Shule ya Sekondari SOS Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo Febuari 27,2020. katikati ni Mkurugenzi wa tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Thabit Idarous Faina.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akionesha Kitambulisho Kipya cha Mzanzibari Mkaazi baada
kukabidhiwa kitambulisho hicho na Afisa wa Wakala wa Usajili wa Matukio
ya Jamii Zanzibar Khatib Said Bakari leo Febuari 27,2020 Tunguu
Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Comments
Post a Comment